Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Kwanini wafanyabiashara Kariakoo hawatoi risti?

Efd Machineee.jpeg VIDEO: Kwanini wafanyabiashara Kariakoo hawatoi risti?

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: Habarileo

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amekiri kuwepo na changamoto ya utoaji risiti za kielektroniki maarufu kama EFD kutokana na mifumo kutokuwa rafiki kwa wafanyabiashara hao.

Mbwana ameyasema hayo kwenye Jukwaa la Kodi na Uwekezaji Februari 28, 2024 jijini Dar es Salaam.

Jukwaa hilo lililobeba kaulimbiu isemayo Maboresho ya Sera katika Uwekezaji, Ukusanyaji wa Mapato ya Ndani na Ukuaji wa Uchumi Jumuishi lilifunguliwa Februari 27, 2024 na Makamu wa Rais Dk Philip Mpango kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

View this post on Instagram

A post shared by HABARILEO (@habarileo_tz)

Chanzo: Habarileo