Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uzalishaji wa karafuu kuongezwa hadi tani 10,000 kwa mwaka

KARAFUU BORA ZANZIBAR Uzalishaji wa karafuu kuongezwa hadi tani 10,000 kwa mwaka

Tue, 9 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan amesema maelekezo ya ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2025 ni kuongeza uzalishaji wa karafuu hadi kufikia tani 10,000 kwa mwaka.

Kauli hiyo ameitoa leo, Jumanne Januari 9, 2024 wakati akingumza katika uzinduzi wa jengo la Kitega Uchumi la Zanzibar State Trade Cooperation Pemba visiwani Zanzibar.

Amesema kuwa uzalishaji wa zao hilo kwa miaka ya 1960 hadi 1978 ulikuwa ni wa kiwango kikubwa lakini kutokana na changamoto mbalimbali ulishuka kutoka tani 20,000 kwa mwaka hadi tani 8,000.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live