Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uwekezaji wa viwanda kurejeshwa Tanga

Viwanda Tanga Aa (600 X 320) Uwekezaji wa viwanda kurejeshwa Tanga

Thu, 23 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali mkoani Tanga, imesema kuwa itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji kwenye fursa za viwanda, ili kuirejesha Tanga ya viwanda.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omar Mgumba wakati wa ziara yake ya kutembelea kiwanda cha kuzalisha kadi za kieletroniki (smart card) cha Rubash Investment kilichopo jijini Tanga.

Amesema mkoa huo umeweka mazingira rafiki kwa wawekezaji, ili kuchangia ukuwaji wa uchumi na kutekeleza agenda ya serikali ya awamu ya sita ya uchumi wa viwanda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live