Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uwanja wa ndege Arusha kuwekwa taa

Taa Arusha Ndege (600 X 376) Uwanja wa ndege Arusha kuwekwa taa

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imeanza kutekeleza agizo la kufunga taa katika uwanja wa ndege wa Arusha.

Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameiagiza TAA kuhakikisha inakamilisha mchakato wa kumtafuta Mkandarasu wa kufanya kazi hiyo.

Amesema kuwekwa kwa taa hizo kutachangia kuongezeka kwa idadi ya abiria wanaotumia uwanja huo wa ndege wa Arusha ambao kwa sasa unahudumia abiria takribani 256,000 ndani ya kipindi cha saa 12.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live