Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Utoe pesa benki kwa AtM ama dirishani, tozo inakuhusu

FB IMG 1659112407111 Utoe pesa benki kwa AtM ama dirishani, tozo inakuhusu

Sat, 30 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali ya Tanzania imeanza kutekeleza makato ya tozo katika mfumo wa benki hapa nchini kama ilivyo kwenye miamala ya simu.

Serikali ya Tanzania imeanza kutekeleza makato ya tozo katika mfumo wa benki hapa nchini kama ilivyo kwenye miamala ya simu. Kwa sasa endapo utataka kufanya miamala ya kibenki kwa njia ya mashine za kutolea fedha (ATM) au katika dirisha la benki ndani utakatwa tozo kulingana na kiwango cha fedha unachotoa au kufanya malipo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live