Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Usiwe Mstaafu ukaenda kujenga kiwanda utakufa”- Waziri Mwijage

1204 120 660x400 TZW

Sun, 7 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage amewataka Watanzania  kabla ya kwenda kujenga viwanda wawafuate Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) ili wapatiwe utaalamu wa mahitaji ya soko kwa sasa.

“Linapokuja swala la viwanda, usinisikilize mimi utaumia, ukitaka kujenga kiwanda kawaone SIDO, wala hupaswi kujua unahitaji kiwanda cha aina gani watakuelezea huko huko.” – Waziri Charles Mwijage 

BENKI KUFUNGWA: “Mamilioni yote yapo Benki, ndani nina elfu 20 tu sijui ntafanyaje na ada za watoto”

BOMOABOMOA MOSHI: majengo yaliyokarabatiwa bila kufuata kanuni kuvunjwa

Chanzo: millardayo.com