Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ushuru wa saruji waongezeka

Saruji Pc Data Ushuru wa saruji waongezeka

Fri, 16 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amependekeza bungeni serikali kutoza Ushuru wa Bidhaa kwa kiwango cha Shilingi 20 kwa kila kilo moja ya Saruji (Sh 1000 kwa mfuko) inayotoka nje ya nchi na inayozalishwa ndani ya nchi.

WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amependekeza bungeni serikali kutoza Ushuru wa Bidhaa kwa kiwango cha Shilingi 20 kwa kila kilo moja ya Saruji (Sh 1000 kwa mfuko) inayotoka nje ya nchi na inayozalishwa ndani ya nchi. Uzalishaji wa Saruji unatoa kiasi kikubwa cha hewa ya ukaa inayochafua na kuharibu mazingira. Lengo la hatua hii ni kuongeza mapato ya Serikali na kupata fedha za fidia ya athari hasi. Hatua hii inatarajia kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha Sh bilioni 147.5

Chanzo: www.tanzaniaweb.live