Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ushuru wa mabango warejeshwa Tamisemi

Mabango Ushuru.png Ushuru wa mabango warejeshwa Tamisemi

Fri, 16 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amependekeza bungeni serikali Kufanya maboresho kwenye Sheria ya Fedha za Serikali za Mitaa, Sura 290 ili jukumu la kukusanya ushuru wa mabango lihame kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania kwenda kwa Ofisi ya Rais – TAMISEMI.

Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amependekeza bungeni serikali Kufanya maboresho kwenye Sheria ya Fedha za Serikali za Mitaa, Sura 290 ili jukumu la kukusanya ushuru wa mabango lihame kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania kwenda kwa Ofisi ya Rais – TAMISEMI. “Lengo la hatua hii ni kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa ushuru wa mabango kwa kutumia Ofisi ya Rais-TAMISEMI ambao muundo wake wa kiutawala umefika hadi ngazi za chini za Kata, Mitaa na vijiji, na hivyo kurahisisha masuala ya ufuatiliaji na usimamizi” amesema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live