Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ulega ziarani Mwanza na zigo hili

Ulega Pic Data Ulega ziarani Mwanza na zigo hili

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega leo Oktoba 3, 2023 ameanza ziara mkoani Mwanza kwa lengo la kukagua maendeleo ya sekta za mifugo na uvuvi.

Waziri Ulega ataendelea na ziara hiyo mpaka itakayohitishwa kesho.

Akiwa mkoani humo, Ulega atakagua maendeleo ya ujenzi wa boti na vizimba ambavyo vitagaiwa kwa wavuvi, atatembelea maabara ya uvuvi na kufanya mikutano ya hadhara na wananchi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live