Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ulega: Bila maji hakuna uvuvi wala ufugaji

Ulega Pic Data Ulega: Bila maji hakuna uvuvi wala ufugaji

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega, amesema hakuna shughuli za uhakika za ufugaji na uvuvi ikiwa hakuna maji, hivyo kuiomba Wizara ya Maji kuhakikisha kila kweye mradi mkubwa wazingatie uwepo wa huduma za wakulima na wafugaji.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega, amesema hakuna shughuli za uhakika za ufugaji na uvuvi ikiwa hakuna maji, hivyo kuiomba Wizara ya Maji kuhakikisha kila kweye mradi mkubwa wazingatie uwepo wa huduma za wakulima na wafugaji. Ulega ametoa kauli hiyo leo Machi 22, 2023 mkoani Dodoma kwenye kilele cha wiki ya maji yenye kauli mbiu Uhakika wa Maji kwa Amani na Utulilivu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live