Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ujenzi vivuko vitano Kanda ya Ziwa wafikia asilimia 80

Vivuko Ujenzi (600 X 350) Ujenzi vivuko vitano Kanda ya Ziwa wafikia asilimia 80

Mon, 26 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

jenzi wa vivuko vitano vinavyotarajiwa kutumika katika wilaya za Ukerewe, Sengerema, Magu na Bunda umefikia asilimia 80.

jenzi wa vivuko vitano vinavyotarajiwa kutumika katika wilaya za Ukerewe, Sengerema, Magu na Bunda umefikia asilimia 80. Kampuni ya Songoro Marine inaendelea na ujenzi wa vivuko vipya kwa ajili ya kutoa huduma katika maeneo ya Buyagu na Mbalika Wilayani Sengerema, Ijinga na Kahangala Wilayani Magu, Bwiro na Bukondo Wilayani Ukerewe, Nyakaliro na Kome Wilayani Sengerema pamoja na Kisorya Wilayani Bunda Mkoani Mara na Rugezi Wilayani Ukerewe Mkoani Mwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live