Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UFAFANUZI: Kuhusu wateja benki zilizofilisiwa kulipwa si zaidi ya milioni 1.5

1175 Screen Shot 2018 01 05 At 9.26.42 PM 636x400.png TZW

Sun, 7 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

January 5, 2018 Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) Prof. Benno Ndulu alitangaza kuzifungia Benki tano ambazo alisema zimefilisika na hivyo kutokuruhsiwa kuendesha shughuli zozote za kibenki nchini, baada ya tangazo hilo la BOT  kumezuka mijadala katika maeneo mbalimbali hasa ni kuhusu nini kitafanyika kwa watu waliokuwa na fedha katika Benki hizo.

Millardayo.com na AyoTV  imeongea na Kaimu Mkurugenzi wa Bodi hiyo Richard Malisa ametolea ufafanuzi kuhusu watu walio na fedha zao katika Benki zilizofungiwa. Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza.

BREAKING: BENKI KUU YA TANZANIA IMEZIFUNGIA BENKI TANO

 

 

Chanzo: millardayo.com