Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Twitter yajipanga kuwatoza ada wafanyabiashara, Serikali

Twitter Wafuasi Twitter yajipanga kuwatoza ada wafanyabiashara na Serikali

Wed, 4 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wanabiashara na serikali wanaotumia Twitter huenda wakahitajika kulipa "ada kidogo" ili kusalia kwenye mtandao huo wa kijamii, mkuu wa Tesla Elon Musk amesema.

Hii ni baada ya bodi ya Twitter kukubali ofa ya kuchukua dola bilioni 44 (£34.5bn) kutoka kwa Bw Musk.

Hata hivyo, Bw Musk alisema mtandao huo daima utakuwa wa bure kwa "watumiaji wa kawaida".

Hapo awali alisema anataka "kufanya Twitter kuwa bora zaidi kuliko ilivyo sasa kwa kuboresha muonekano wake na kujumuisha vipengele vipya".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live