Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TikTok yapigwa marufuku Marekani

Tiktok Asd.jpeg Tiktok

Sat, 14 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtandao wa TikTok umepigwa marufuku kutumiwa katika vifaa vya kielekronia nchini Marekani kwa sababu za kulinda masuala ya mtandao katika nchi.

Magavana wa Wisconsin na Carolina Kaskazini wamesaini mkataba wa maagizo wa kupiga marufuku utumiaji wa Tiktok kwenye vifaa vya kielekronia vya Serikali, huku yakifuatiwa na majimbo mengine 20.

Mtandao wa Tiktok umejipatia umarufu sana duniani kwani watumiaji wa mtandao huo wanauwezo wa kutengeneza na kuona na video za kufarahisha, kucheshwa na zauzuni pia.Makao makuu ya Tiktok ni nchini China na ina milikiwa na kampuni ya teknologia ByteDance.

Serikali ya Marekani haijaishia kupiga marufuku mtandao wa Tiktok tu, hata imepiga marufuku wachuuzi, bidhaa na huduma zingine zitokazoa nchini China ikiwemo Huawei Technologies, Hikvision.

ZTE Corp Tencent Holdings mmiliki wa WeChat na pia Kaspersky Lab inayo milikiwa Urusi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live