Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama Fundi nguo asiyeona akishona, “Nashona mpaka saa 6 usiku na siwashi Taa”

3054 Fundi 1 660x400

Mon, 12 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo February 11, 2018 nakusogezea tena Fundi wa nguo mwenye ulemavu wa macho Dk. Abdallah Nyangalio ambaye aliwahi kuelezea viongozi mbalimbali aliowashonea suti na jinsi anavyofanya shughuli zake hizo.
 
Leo anaelezea ndoto zake za kutaka kumshonea Suti Rais John Magufuli na pia anatuelezea jinsi anavyoweza kumpima mtu nguo.

WAFANYAKAZI 800 WAPUNGUZWA KAZINI, MKURUGENZI ATUMA OMBI KWA JPM

Chanzo: millardayo.com