Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania ya pili uzalishaji tumbaku Afrika

Tumbaku Tanzania Tanzania ya pili uzalishaji tumbaku Afrika

Tue, 6 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Tanzania ni nchi ya pili Afrika kwa uzalishaji wa zao la tumbaku.

Bashe amesema hayo leo Agosti 06, 2024 wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanda cha Sigara na upanuzi wa Kiwanda cha Uchakataji Tumbaku (MTPL) mkoani Morogoro.

“Tanzania tulikuwa tukiitwa kwenye kundi la ‘others’ kwenye sekta ya tumbaku duniani lakini leo ni ‘second largest producer wa Tobacco Afrika (wa pili Afrika) baada ya Zimbabwe, tunazungumzia dola zaidi Milioni 400 msimu huu ulioisha. Mvua za El - Nino zimeturudisha nyuma tungekuwa wa kwanza Afrika”.amesema Waziri Bashe

Chanzo: www.tanzaniaweb.live