Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania kunadi vituo vya utalii ITB

Utalii Mbugaaa.jpeg Tanzania kunadi vituo vya utalii ITB

Tue, 5 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki katika ufunguzi wa Maonesho ya Utalii ya ITB yaliyofanyika tarehe 4 Machi jijini Berlin, Ujerumani.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki katika ufunguzi wa Maonesho ya Utalii ya ITB yaliyofanyika tarehe 4 Machi jijini Berlin, Ujerumani. Katika hafla hiyo, Waziri Kairuki amekutana na Waziri wa Maliasili na Utalii wa Oman, Salem bin Mohammed Al Mahrouqi, Waziri wa Utalii wa Saudi Arabia, Ahmed Al Khateeb, Naibu Waziri wa Utalii wa Saudi Arabia, Princess Haifa Al Saud pamoja viongozi mbalimbali wa Sekta ya Utalii Barani Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live