Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania, China kushirikiana kwenye forodha

Forodha Tz China (600 X 278) Tanzania, China kushirikiana kwenye forodha

Thu, 15 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mamlaka ya Forodha ya China, Yu Jianhua aliyemtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mamlaka ya Forodha ya China, Yu Jianhua aliyemtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yamefanyika kwa pamoja na utiaji saini wa makubaliano ya kukuza uhusiano baina ya Tanzania na China katika masuala ya Forodha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live