Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanapa kuongeza yajipanga kuongeza idadi ya watalii nchini

Watalii Wakoshwa Na Vivutio Vya Utalii Nchini Tanapa kuongeza yajipanga kuongeza idadi ya watalii nchini

Tue, 25 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania - TANAPA limepanga kukusanya kiasi cha Sh bilioni 343.8 ikiwa ni ongezeko la Sh bilion 6.8 kutoka Sh bilioni 337 iliyokusanywa mwaka wa fedha 2022/23, Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, William Mwakilema amsema jijini Dodoma. - Kamishna Mwakilema amesema "TANAPA imeweka mikakati thabiti ya kuongeza idadi ya watalii kufikia 1,802,460 kwa mwaka 2023/2024". - Kamishna Mwakilema alisema, "shirika lina dhamana ya kusimamia na kuendeleza maeneo yaliyoteuliwa kuwa hifadhi za taifa hivyo TANAPA imeweka vipaumbele katika maeneo ya uhifadhi, ulinzi, utalii, ushirikishaji jamii na uboreshaji wa miundombinu pamoja na ukamilishaji wa miradi ya maendeleo ya shirika ili kufikia malengo tulio jiweke". - Aidha, shirika limejipanga kuboresha miradi ya maendeleo kwa ukarabati wa viwanja vya ndege katika Hifadhi za Taifa za Ruaha, Mikumi na Nyerere, ikiwa ni pamoja na ununuzi wa ndege na Helikopta ili kuimarisha utalii pamoja na shughuli za ulinzi mkakati.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live