Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taifa Gas kujenga ghala kubwa Kenya

Gesi Urusii.jpeg Taifa Gas kujenga ghala kubwa Kenya

Thu, 23 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya Taifa Gas ya nchini Tanzania inatarajia kuanza ujenzi wa ghala kubwa la kuhifadhi na kusambaza gesi aina ya LPG, lenye ujazo wa tani elfu 30.

Ujenzi wa ghala hilo utafanyika huko Dongokundu, Mombasa nchini Kenya kwa gharama ya dola milioni 130 za kimarekani.

Ujenzi wa ghala hilo unatarajia kuanza hapo kesho, ambapo Rais William Ruto wa Kenya atazindua rasmi ujenzi huo.

Ujenzi wa ghala hilo kubwa la kuhifadhi na kusambaza gesi aina ya LPG unatarajiwa kukamikika ndani ya kipindi cha miezi 12 na kutoa ajira takribani elfu 90.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live