Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TRC yatoa tathimini ujenzi reli ya SGR

Masanja Kadogosa, Kamati Kusafiri Na SGR TRC yatoa tathimini ujenzi reli ya SGR

Tue, 26 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Reli nchini (TRC), Masanja Kadogosa amesema hadi sasa, shirika hilo limefanya uwekezaji wa Sh trilioni 23.3 katika ujenzi wa miundombinu ya reli nchini.

Ameeleza hayo leo jijini Dar es Salaam katika mkutano uliowakutanisha wahariri na waandishi wa habari kuelezea miaka mitatu ya mafanikio ya Serikali ya Awamu ya sita katika sekta ya reli.

View this post on Instagram

A post shared by HABARILEO (@habarileo_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live