Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TRA yanasa marobota ya vitenge yakisafirishwa 'kinyemela'

Ra TRA yanasa marobota ya vitenge yakisafirishwa 'kinyemela'

Wed, 15 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo Juni 14, 2022 imekamata marobota ya vitenge 507 yaliyoingizwa nchini kinyume cha sheria.

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo Juni 14, 2022 imekamata marobota ya vitenge 507 yaliyoingizwa nchini kinyume cha sheria. Taarifa ya TRA imesema, marobota hayo yameingizwa nchini na Mfanyabiashara Raia wa China kwa njia za magendo kupitia Kampuni yake inayoitwa Kapansky na kuhifadhi mzigo huo kwenye ghala la Kampuni ya Shinyanga Emporium lililopo Vingunguti jijini Dar es Salaam bila kuwa na nyaraka zozote za forodha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live