Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TRA yanasa basi likisafirisha vipodozi vilivyopigwa marufuku

Gari Vipodozi (600 X 392) TRA yanasa basi likisafirisha vipodozi vilivyopigwa marufuku

Tue, 21 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Basi la abiria la Friends linalofanya safari zake kutoka Uganda kwenda Mwanza limekamatwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoani Geita kwa madai ya kubeba vipodozi ambavyo vimepigwa marufuku.

Basi la abiria la Friends linalofanya safari zake kutoka Uganda kwenda Mwanza limekamatwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoani Geita kwa madai ya kubeba vipodozi ambavyo vimepigwa marufuku. TRA imebainisha kwamba asilimia 90 ya mizigo waliyobeba imelipiwa ushuru kidogo ukilinganisha na thamani ya mizigo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live