Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TRA: Stempu za kodi zashuka hadi asilimia 30

TRA TRA: Stempu za kodi zashuka hadi asilimia 30

Tue, 6 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata leo ametangaza bei mpya za stempu za kodi za kielektroniki kufuatia majadiliano yenye mafanikio makubwa kati ya Mamlaka ya Mapatao Tanzania (TRA), Umoja wa wenye viwanda Nchini Tanzania (CTI) na Mkandarasi SICPA SA ambapo gharama za stempu hizo zimeshuka hadi 30%.

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata leo ametangaza bei mpya za stempu za kodi za kielektroniki kufuatia majadiliano yenye mafanikio makubwa kati ya Mamlaka ya Mapatao Tanzania (TRA), Umoja wa wenye viwanda Nchini Tanzania (CTI) na Mkandarasi SICPA SA ambapo gharama za stempu hizo zimeshuka hadi 30%. Watengenezaji, Wazalishaji na Waagizaji wa bidhaa zinazotozwa ushuru wa bidhaa na ambazo zimeorodheshwa (kwenye swipe) watanunua stempu hizo kutoka kwa Muuzaji aliyeingia mkataba na TRA kwa bei zilizoorodheshwa ambapo bei hizi mpya zimeanza kutumika kuanzia January 24, 2024.(swipe kuona bei mpya)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live