Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TPA: Hakuna mgomo bandari ya DSM

Bandari Chachamaa TPA: Hakuna mgomo bandari ya DSM

Mon, 4 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema hakuna mgomo katika bandari hiyo na kwamba watumishi wote wanatimiza majukumu yao kikamilifu kwa kuzingatia ratiba za sehemu zao za kazi.

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema hakuna mgomo katika bandari hiyo na kwamba watumishi wote wanatimiza majukumu yao kikamilifu kwa kuzingatia ratiba za sehemu zao za kazi. TPA imetoa taarifa muda huu ikikanusha uvumi kuwa mgomo huo ulisababishwa na Mamlaka kusitisha mikataba ya baadhi ya watumishi. “Hakuna mtumishi yeyote wa Mamlaka aliyesitishiwa mkataba wake kwa sababu zozote zile,” imesema taarifa ya TPA.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live