Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TOP 10: Magari ya gharama kubwa zaidi duniani kwa mwaka 2018 (Pichaz+)

1165 Agera R 660x400 TZW

Sun, 7 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Mwaka Mpya umeanza na mambo mapya yanaanza, ikiwa ni pamoja na bidhaa mpya mbalimbali ambazo zimeanza kuingia sokoni.

Leo January 5, 2018 Ayo TV na millardayo.com inakusogezea magari kumi yenye thamani kubwa zaidi duniani ambayo ni ya mwaka 2018 kama yalivyotajwa na tovuti mbalimbali duniani.

10. Bugatti Chiron – (Dola Milioni 2.7 sawa na takriban Tsh Bilioni 6.48)

9. Pagani Huayra BC – (Dola Milioni 2.8 sawa na Tshs Bilioni 6.72)

8. Ferrari Pininfarina Sergio – (Dola Milioni 3 sawa na Tsh Bilioni 7.2) 

7. Aston Martin Valkyrie – (Dola Milioni 3.2 sawa na takriban Bilioni 7.68)

6. Limited Edition Bugatti Veyron by Masory Vivere – (Dola Milioni 3.4 sawa na takriban Tsh Bilioni 8.1)

5. Lykan Hypersport – (Dola Milioni 3.4 sawa na Tshs Bilion 8.1) 

4. McLaren P1 LM – (Dola Mil 3.6 sawa na takriban Tsh Bilioni 8.6)

3. Lamborghini Veneno Roadster – (Dola Milioni 4.5 sawa na takriban Tsh Bilioni 10.8)

2. Koenigsegg CCXR Trevita – (Dola Milioni 4.8 sawa na takriban Tsh Bilioni 11.5)

1. Sweptail by Rolls Royce – Dola Milioni 13 sawa na takriban Tsh Bilioni 31.2)

 

FULLVIDEO: Babu Seya na Papii Kocha rasmi waingia studio, Wazungumza haya

Mnada wa magari 140 ya TRA yaliyotelekezwa bandarini umefanyika leo

Chanzo: millardayo.com