Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TCAA, Indra Avitech wasaini hati yamakubaliano taarifa za anga

Airpot JNIC TCAA, Indra Avitech wasaini hati yamakubaliano taarifa za anga

Fri, 22 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) imetia saini Kandarasi ya Mkataba wa Utekelezaji wa Mradi wa Mfumo wa Usimamizi wa Utoaji wa Taarifa za Anga na Kampuni ya Indra Avitech wenye thamani ya Sh. Bilioni 9. - Hafla hiyo imefanyika Septemba 22, 2023, Makao Makuu ya TCAA na imeongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Hamza Johari pamoja na Simon Masike kwa upande wa kampuni ya Indra Avitech. - Mradi huo unatarajiwa kutekelezwa katika kipindi cha miezi 18.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live