Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TBS yatoa leseni 1,000 bure

Large 1650863845 Tbslogo.png TBS yatoa leseni 1,000 bure

Fri, 19 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatima Shirika la Viwango Tanzania, (TBS) limeanika mafanikio iliyoyapata ndani ya miaka miwili ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambapo imesema ndani yaLeseni 2016 za ubora iliyozitoa, kuna leseni zaidi ya 1000 imezitoa bure kwa Wajasiliamali wadogowadogo.

Akizungumza mbele ya Wanahabari Mkurugenzi Mkuu wa TBS, DKT. Athuman Ngenya alisema, wanajivunia zaidi kuongeza idadi ya utoaji wa leseni za viwango kwa miaka mitatu ya Rais Samia.

Mbali na hivyo Dkt Ngenya ameweka wazi kuwa leseni zilizotolewa kwa miaka mitatu ni zaidi ya asilimia 100 jambo ambalo ni la kujivunia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live