Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TAFIRI kutafiti wingi wa samaki Bahari ya Hindi, Ziwa Tanganyika

WhatsApp Image 2022 02 14 At 4.09.39 PM.jpeg TAFIRI kutafiti wingi wa samaki Bahari ya Hindi, Ziwa Tanganyika

Tue, 15 Feb 2022 Chanzo: ippmedia.com

Taasisi ya utafiti wa uvuvi Tanzania TAFIRI inatarajia kufanya utafiti wa kutamba wingi wa samaki katika Bahari ya Hindi na Ziwa Tanaganyika utakaodumu kwa siku 30 kuanzia wiki ijayo.

Akitoa taarifa hiyo leo Mkurugenzi Mkuu wa TAFIRI, Ismael Kimirei amesema lengo ni kujua samaki waliopo na kuwa wamegawanyika kwa upana upi ili kuwavutia wawekezaji na kukuza uchumi wa bluu.

Amesema Bahari ya Hindi kwa mara ya kwanza inaingia katika utafiti huku Ziwa Tanganyika utafiti huo ulifanyika miaka 30 iliyopita.

Chanzo: ippmedia.com