Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Suki's mjasiriamali mlemavu mwenye ndoto ya kukutana na Rais Samia

Sukisss Suki's mjasiriamali mlemavu mwenye ndoto ya kukutana na Rais Samia

Mon, 4 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Suki's Pirhbai ni Mjasiriamali mwenye kipaji kikubwa kutoka Jijini Mwanza ambaye amejipatia umaalufu kutokana na kazi zake anazozifanya ,licha ya changamoto ya ulemavu aliyonayo lakini bado hajakata tamaa katika shughuli zake za kila siku.

Suki's Pirhbai ni Mjasiriamali mwenye kipaji kikubwa kutoka Jijini Mwanza ambaye amejipatia umaalufu kutokana na kazi zake anazozifanya ,licha ya changamoto ya ulemavu aliyonayo lakini bado hajakata tamaa katika shughuli zake za kila siku. Kwenye maonyesho ya 18 ya Afrika Mashariki yanayoandaliwa na Chemba ya Wafanyabihashara Mkoani Mwanza (TCCIA) Suki's amefanikiwa kushika nafasi ya pili kwa wajasiriamali wa bidhaa za ngozi na nguo ambapo anasema kuwa ndoto yake siku moja ni kuonana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluh Hassan ili aweze kumuonyesha kile anachofanya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live