Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sukari tani elfu 50 kuingizwa nchini Januari hii

Sukari Zanzibar Sukari tani elfu 50 kuingizwa nchini Januari hii

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: Millard Ayo

Jumla ya Tani 50000 za sukari zinatarajiwa kuingizwa Nchini kuanzia January 22,2024 kutoka nje ya Nchi ikiwa ni moja ya njia za kupunguza makali ya changamoto ya upungufu wa sukari ambao umejitokeza siku za hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mvua za Elnino.

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania, Keneth Bengesi amesema hayo Jijini leo January 18,2024 wakati akiongea na Waandishi wa Habaaru juu ya hali ya uzalishaji wa sukari ilivyo mwaka huu na changamoto ambazo zimejitokeza na hatua mbalimbali ambazo wamechukua ili kukabiliana na changamoto hizo.

View this post on Instagram

A post shared by BLU BOY (@millardayo)

Chanzo: Millard Ayo