Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Suala la ngano nlipo hivi...

Ngano Ngano Suala la ngano nlipo hivi...

Mon, 26 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu nchemba leo Jumatatu Juni 26, 2023 ametolea ufafanuzi suala la kupunguza kwa ushuru wa ngano inayotoka nje ya nchi, ambalo lilizua mjadala wakati wa majadiliano ya bajeti hiyo ya Serikali yam waka wa fedha 2023/2024.

“Nawashukuru sana wote mliochangia kuhusu suala la ngano ambao mliona Wizara ya Fedha imeshusha kiwango kuto asilimia 35 hadi asilimia 10, jambop hili tulikaa na wizara ya kisekta tupo na kauli moja, huo ni msamiati tu unatumika katika bajeti lakini punguzo hili ni pale ambapo kutakuwa na upungufu,”

Mwigulu amesema hayo akijibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa na wabunge katika majadiliano ya bajeti hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live