Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simu zote kuanza kutumia USB-C

Usb C.jpeg USB-C

Thu, 9 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Umoja wa Ulaya (EU) umeridhia Kanuni zitakazolazimu simu zote zinazouzwa katika Umoja huo kuwa na 'Port' ya USB-C, uamuzi ambao ni pigo kubwa kwa Kampuni ya Apple yenye mfumo tofauti katika baadhi ya bidhaa zake.

EU imesema Kanuni hizo zinazotarajiwa kuanza kutekelezwa 2024 zinalenga kupunguzia wateja usumbufu wa kutumia Chaja tofauti katika vifaa vyao na kudhibiti uchafu wa kielektroniki kwa kuondoa ulazima wa kununua Chaja mpya kwa kila unaponunua simu.

Baada ya maridhiano hayo, Kanuni hizo zitahitaji kupitishwa na Bunge pamoja na Baraza la Ulaya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live