Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shisha, sigara kutozwa asilimia 30 ushuru

Shisha Shisha, sigara kutozwa asilimia 30 ushuru

Thu, 15 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amependekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia 30 kwenye sigara na bidhaa za aina hiyo zinazotumia mbadala wa tumbaku zinazotambulika kwa Hs code 2402.90.00; tumbaku inayovutwa kwa kutumia bomba la maji inayotambulika kwa Hs code 2403.11.00.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amependekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia 30 kwenye sigara na bidhaa za aina hiyo zinazotumia mbadala wa tumbaku zinazotambulika kwa Hs code 2402.90.00; tumbaku inayovutwa kwa kutumia bomba la maji inayotambulika kwa Hs code 2403.11.00. Na sigara za kielektroniki, shisha na bidhaa za aina hiyo zinazotambulika kwa Hs codes 8543.40.10, 8543.40.90 na 9614.00.00.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live