Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali yatangaza matazamio kushuka bei ya mchele

Mchele Nchi Jirani Serikali yatangaza matazamio kushuka bei ya mchele

Wed, 15 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa zao hilo kwa Taifa na pia Serikali imeondoa baadhi ya kodi ili zao hilo liweze kuongezeka kwenye soko.

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa zao hilo kwa Taifa na pia Serikali imeondoa baadhi ya kodi ili zao hilo liweze kuongezeka kwenye soko. Waziri Kijaji ametoa kauli hiyo Dar es salaam leo ambapo amenukuliwa akisema “Tunatarajia kuanzia mwisho mwezi huu wa pili, wiki ya kwanza ya mwezi wa tatu zao la mchele litapungua bei na Watanzania waweze kufikia zao hilo na kununua katika bei inayohimilika"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live