Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali yapokea gawio la Bilioni 143 toka Airtel

Gawio.jpeg Mfano wa hundi ikikabidhiwa

Tue, 12 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango akipokea mfano wa hundi ya Sh Bil 143 ikiwa ni gawio, mchango wa uwezeshaji na mauzo ya minara kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simu ya Airtel, Gabriel Malata (wa pili kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Dinesh Balsingh (kushoto) jana jijini Dodoma. Wengine Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (wa pili kulia), Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande (wa tatu kulia) na Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live