Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali yapiga marufuku kodi kwenye mazao

Dugange  Dugange Eee Serikali yapiga marufuku kodi kwenye mazao

Tue, 30 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali imepiga marufuku halmashauri zote nchini kutoza kodi kwenye mazao ya wakulima wa kawaida wanaosafirisha mazao yao kutoka shambani.

Serikali imepiga marufuku halmashauri zote nchini kutoza kodi kwenye mazao ya wakulima wa kawaida wanaosafirisha mazao yao kutoka shambani. Kauli hiyo imetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Jimbo la Bukene, Selemani Zedi aliyeitaka Serikali kutoa katazo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nzega Vijijini kuwatoza kodi ya mazao wakulima wa kawaida katika halmashauri hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live