Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali yaboresha Masoko 367 ya machinga

Machinga Masoko 367 (600 X 366) Serikali yaboresha Masoko 367 ya machinga

Thu, 18 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali imesema hadi kufikia mwezi Aprili, 2023 jumla ya masoko 367 yenye uwezo wa kuhudumia Wafanyabiashara ndogondogo 136,041 yameboreshwa.

Serikali imesema hadi kufikia mwezi Aprili, 2023 jumla ya masoko 367 yenye uwezo wa kuhudumia Wafanyabiashara ndogondogo 136,041 yameboreshwa. Baadhi ya masoko hayo ni Soko la Machinga Complex Bahi Road jijini Dodoma, Soko la Kigogo Fresh na Soko la Bunju B, Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live