Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali na mkakati wa kukuza utalii

UTALII NZURI 0 Serikali na mkakati wa kukuza utalii

Mon, 5 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali ya Tanzania imeendeleza mikakati yake ya kukuza utalii Kusini mwa Tanzania, ili kuendelea kuvutia wageni zaidi na kukuza uchumi wa nchi kwa kutengeneza miundombinu ya barabara, nyumba na vituo zaidi vya kupokea wageni.

Serikali ya Tanzania imeendeleza mikakati yake ya kukuza utalii Kusini mwa Tanzania, ili kuendelea kuvutia wageni zaidi na kukuza uchumi wa nchi kwa kutengeneza miundombinu ya barabara, nyumba na vituo zaidi vya kupokea wageni. Naibu Mratibu wa mradi wa kukuza utalii kusini mwa Tanzania (REGROW) Bi.Blanka Tengia, amesema hayo mjini Morogoro, wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa mradi huo kwa Maafisa Watendaji wa Vijiji vitakavyo nufaika na mradi huo na kubainisha maboresho yanayoendelea kufanywa na serikali katika hifadhi ili kuvutia watalii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live