Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali kuwatambua wachimbaji madini kama wazalishaji

Mud Matope Madini Serikali kuwatambua wachimbaji madini kama wazalishaji

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naibu Waziri wa Madini, Steven Kiruswa amesema wizara ya madini na wadau wake ni sehemu ya wazalishaji wa ndani na kushiriki kwao katika maonesho ya madini kutasaidia kujifunza njia bora za kuzalisha madini yao.

Akitoa salamu za wizara hiyo wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Kwanza ya Kimataifa ya Wazalishaji wa Ndani, Naibu Waziri Kiruswa amesema wataendelea kushiriki katika maonesho hayo ili kujifunza na kutafuta masoko zaidi ya madini.

Amesema, maonesho hayo ni jukwaa la kubadilishana uzoefu na kufungua masoko ya ndani na ya kimataifa kwenye sekta ya madini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live