Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali kuiwezesha Stamico

Madini Pic Data Serikali kuiwezesha Stamico

Wed, 21 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma, Deus Sangu amelihakikishia Shirika la Madini Tanzania (STAMICO) kwamba kamati hiyo itaendelea kusaidia shirika hilo katika utatuzi wa changamoto zake ili liweze kukuza pato la Taifa.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma, Deus Sangu amelihakikishia Shirika la Madini Tanzania (STAMICO) kwamba kamati hiyo itaendelea kusaidia shirika hilo katika utatuzi wa changamoto zake ili liweze kukuza pato la Taifa. Akizungumza na uongozi wa shirika hilo baada ya kufanya ukaguzi wa kampuni tanzu ya shirika hilo, Precious Metals Refinery Mwanza, Sangu ameeleza matumaini yake kuwa uwekezaji unaoendelea kufanyika STAMICO ni mkubwa na utawezesha shirika hilo kufikia malengo yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live