Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali kuipa kipaumbele ripoti hakimiliki ubunifu

WhatsApp Image 2021 05 06 At 15.43.01.jpeg Serikali kuipa kipaumbele ripoti hakimiliki ubunifu

Thu, 6 May 2021 Chanzo: ippmedia.com

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga, ameyasema hayo wakati akifungua warsha ilioandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia COSTECH iliyohusu masuala ya uendelezaji bunifumbalimbali hapa nchini.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga, ameyasema hayo wakati akifungua warsha ilioandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia COSTECH iliyohusu masuala ya uendelezaji bunifumbalimbali hapa nchini. Kipanga, amesema ripoti hiyo ambayo serikali inaipa kipaumbele cha juu imekuwa inatumika kama kipimo cha taifa,kwa wadau mbalimbali wanaotaka kuwekeza au kufanya biashara kwa taifa husika,kwa maana hiyo serikali inaipa kipaumbele cha juu ripoti hiyo.   

Chanzo: ippmedia.com