Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali kuipa kampuni ya Dubai mradi wa Mwendokasi

Kimara Mwendokasiii Mwendokasiiiii Serikali kuipa kampuni ya Dubai mradi wa Mwendokasi

Fri, 29 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamishna wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila amesema DART itasaini makubaliano Mwezi ujao na Kampuni ya Emirates National Group (ENG) ya Dubai ili kuendesha Awamu ya 1 ya Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam.

Kafulila amesema Kampuni ya ENG inaweza kupewa Uendeshaji wa Awamu nyingine za Mwendokasi ikiwa awamu ya kwanza ya operesheni yake itafanikiwa.

ENG kwa sasa inaendesha Huduma za Usafiri wa Umma huko UAE na Misri, ikiwa na zaidi ya Magari ya Abiria 1,000.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live