Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali bega kwa bega na wadau sekta ya madini

Mpangoww Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais

Tue, 22 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesema serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya madini nchini ili kuongeza tija na pato la Taifa

Makamu wa Rais amezungumza hayo leo wakati akifungua Mkutano wa Kimataifa wa uwekezaji sekta ya Madini unaofanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam

Aidha Makamu wa Rais amemtaka Waziri wa Madini Doto Biteko kuhakikisha anatatua na kushughulikia changamoto zilizopo katika sekta hiyo

Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho huku wadau mbalimbali katika sekta ya madini wakipata fursa ya kuonesha bidhaa zao katika mabanda yaliyopo katika ukumbi huo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live