Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sekta isiyo rasmi yachangia Sh trilioni 6.2

F655261ba481282475094b535f3d2915 Sekta isiyo rasmi yachangia Sh trilioni 6.2

Tue, 21 Dec 2021 Chanzo: www.habarileo.co.tz

Sekta isiyo rasmi imechangia shilingi trilioni 6.2 ikiwa ni sawa na asilimia 22.5 ya pato la Mkoa wa Dar es Salaam.

Hayo yamebainishwa katika ripoti ya ya utafiti wa Taasisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania (NBS),iliyozinduliwa leo jijini Dar es Salaam.

Matokeo hayo pia yanaonyesha kuwa Pato la wastani kwa mtu anayejihusisha na shughuli za kiuchumi kwenye Sekta Isiyo Rasmi kwa Mwaka ni Shillingi Millioni 11.4.

Chanzo: www.habarileo.co.tz