Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Samia ashuhudia utiaji saini makubaliano miradi ya biashara

Samia Mkataba USA (600 X 274) Samia ashuhudia utiaji saini makubaliano miradi ya biashara

Sat, 23 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya miradi ya kibiashara ambayo itatekelezwa nchini Tanzania na wawekezaji kutoka Marekani.

Zoezi hilo limefanyika leo Aprili 23, 2022 katika Mkutano wa Wafanyabiashara wa Marekani uliofanyika katika Makao Makuu ya Ofisi za Chemba ya Biashara ya Marekani jijini Washington nchini Marekani.

Aidha Uwekezaji huo una thamani ya $5.04 bilioni (TZS trilioni 11.7) na utazalisha ajira 301,110 kwenye kilimo, utalii, biashara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live