Menu ›
Biashara
Tue, 18 Apr 2023
Chanzo: Habarileo
SPIKA wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema uamuzi wa serikali kufuta leseni zaidi ya 700 za mawakala wa mbolea ni halali na kuwataka wabunge watambue umuhimu wa kuzuia mianya ya wizi.
Akitoa muongozo ulioombwa na Mbunge wa Iringa Mjini Dk. Jesca Msambatavangu, Dk Tulia ameitaka serikali itafute mbadala kwa maeneo yaliyoathirika zaidi kwa idadi kubwa ya mawakala wa mbolea kufutwa ili wananchi wapate mbolea kwa urahisi.
Chanzo: Habarileo