Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sajilini biashara zenu mpate kazi migodini

MIGODINIII Sajilini biashara zenu mpate kazi migodini

Fri, 21 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule amewataka wananchi wanaopata mafunzo mbalimbali ya biashara na ujasiriamali kuhakikisha wanakamilisha mchakato wa usajili wa biashara zao ili watimize vigezo vya kupewa tenda kwenye Mgodi wa dhahabu wa Geita GGML.

Mkuu wa Mkoa ametoa kauli hiyo wakati akifungua mafunzo yaliyowakutanisha wafanyabiashara mkoani humo ambayo yameandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji wa wananchi Kiuchumi (NEEC) kwa ushirikiano na mgodi wa GGML.

View this post on Instagram

A post shared by Clouds TV ???????? (@cloudstv)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live