Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

SIDO yatakiwa kushirikiana na TBS

Bidhaa Bidhaa Bidhaa (600 X 430) SIDO yatakiwa kushirikiana na TBS

Thu, 27 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirika la kuhudumia viwanda vidogo(Sido) Mkoa wa Dodoma limeshauriwa kushirikiana na Shirika la Viwango( TBS), ili kuhakikisha bidhaa zinazozalishwa na vijana zinakuwa na ubora.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugezi wa Idara ya Ukuzaji Ajira na Ujuzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ally Msaki kwenye hafla ya kuhitimisha mafunzo ya uanagenzi kwa vijana 147 na kukabidhi vifaa vilivyotolewa na wadau mbalimbali ikiwemo Shirika la Maendeleo la Ujerumani GIZ.

Amewataka vijana kutumia ujuzi walioupata kuzalisha bidhaa zenye ubora unaohitajika katika soko la kitaifa na kimataifa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live