Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rostma Aziz mmiliki mpya wa Tigo na Zantel

Rostam Aziz.jpeg Rostma Aziz mmiliki mpya wa Tigo na Zantel

Wed, 6 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Aziz na Muungano wa Kampuni ya Axian Group Ltd ya Madagascar wamekamilisha ununuzi wa Tigo Tanzania na Zantel.

Mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Aziz na Muungano wa Kampuni ya Axian Group Ltd ya Madagascar wamekamilisha ununuzi wa Tigo Tanzania na Zantel. Rostam sasa anakuwa Mwenyekiti wa Kampuni mama ya Tigo, MIC Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live